Roger Federer amepata ushinda wa 18 wa Grand Slam kwa mara
ya kwanza katika kipindi cha miaka mitano kwa kumshinda kwa seti tano mfululizo
Rafael Nadal, katika fainali ya mashindano ya Australian Open.
Federer mwenye umri wa miaka 35 alishinda kwa seti 6-4 3-6
6-1 3-6 6-3 na kupata ushindi wake wa tano wa Melbourne.
Nadal mwenye umri wa miaka 30 yuko nafasi ya pili sawa na
Pete Sampras.
Ushindi mkubwa wa mwisho wa Federer ulikuwa wa Wimbledon
mwaka 2012.
"Nimekuwa nikija hapa kwa karibu miaka 20
sasa,"alisema. Nimekuwa nikifarahia na sasa familia yangu inafurahia pia.
No comments:
Post a Comment