Nampenda sana mume wangu lakini nimeboreka nae! in the bedroom ndio hata
usiseme! yaani hata nikikaa mwezi hatujakutana siku ikitokea mechi
najua kabisa anaanzia wapi atafanya nini, hayuko creative kabisa.
Najaribu kufanya changes try new positions ila yeye wala. Inaniboa!
yaani I can only dream mechi za stori za sinema za x hahaha! ana mashine
nzuri lakini utaalam ziro. mpaka nimenunua kitabu flani cha positions
hakya nani.
Hayo yote sijawahi kucheat...ivi kuna unyago for men? nakiri kwa kweli
niko shy kidogo kumpa somo, jinsi ya kuhandle mwanamke. nifanyeje?
Tuesday, December 6, 2016
NAMPENDA Mume Wangu Lakini Haniridhishi Tukiwa Faragha
Tags
# MAHUSIANO NA NDOA
Tupe Maoni Yako (Matusi Hapana)
Mwakasege Blog
USIACHE KU LIKE PAGE YETU KWAKUBONYEZA LIKE BUTTON
About siasa
MAHUSIANO NA NDOA
Labels:
MAHUSIANO NA NDOA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Mahala popote ulipo, unaweza kututumia Habari kupitia namba yetu ya whatsap +255756584473.
No comments:
Post a Comment