MMILIKI wa Mtandao wa Jamii Forums Maxence Melo Akamatwa na Polisi...Anyimwa Dhamana - boazmwakasege.com

MADA MOTO

Tuesday, December 13, 2016

MMILIKI wa Mtandao wa Jamii Forums Maxence Melo Akamatwa na Polisi...Anyimwa Dhamana

 
DAR: Mwanzilishi wa Mtandao wa JamiiForums, Maxence Melo akamatwa na Polisi kwa kukataa kutoa taarifa za siri za watumiaji wa mtandao huo.

Anyimwa dhamana atakaa rumande mpaka kesho atakapofikishwa mahakamani.

Maxence ameendelea kushikilia msimamo kuwa ni uvunjwaji wa Sheria na Haki za wananchi kufanya hivyo.

No comments:

Post a Comment