Picha ya Jokate Akiwa Amekumbatiana Yazua Gumzo, Mwenyewe Adai ilikuwa Event - boazmwakasege.com

MADA MOTO

Wednesday, November 16, 2016

Picha ya Jokate Akiwa Amekumbatiana Yazua Gumzo, Mwenyewe Adai ilikuwa Event

 
Watu Wabaya, Picha ya Jokate ya zamani akiwa amekumbatiana na Calisah imeubuliwa na kuzua sintofahamu huku wengine wakisema Jokate alishatoka na Mwanaume huyo ambae amekuwa gumzo kipindi hiki baada ya kutoka na Wema Sepetu na kusemekana anavujisha Picha za Faragha akiwa na Wema...

No comments:

Post a Comment