August 17
2016 Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam imewahoji wasanii wanne wa
kundi la sanaa ya uigizaji Orijino komedi akiwemo kwa tuhuma za kuvaa sare za
polisi kwenye harusi ya msanii Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja.
Kaimu kamishna wa jeshi la polisi Dar es
salaam Hezron Gyimbi ambaye ametusogezea taarifa za awali kwa
kusema…>>>’Wamekamatwa jana saa 10 jioni ambapo wamehojiwa na
wamekaguliwa sehemu wanazokaa kuona kama wana vitu zaidi ya uniform‘
‘Tunakamilisha
hatua za kiupelelezi, makosa yanadhaminika wakipata watu wanaweza wakawadhamini
sababu dhamana ni haki ya mtu‘-Hezron Gyimbi
No comments:
Post a Comment