Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa-NIDA- Dickson Maimu (wa tatu kushoto) na viongozi wengine nane wa taasisi hiyo wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu mapema leo.Habari zaidi tutawaletea.
Mnamo mwezi January 2016, Rais Magufuli aliamua kutengua uteuzi wa Mkurugenzi wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa (NIDA) Bwana Dickson Maimu na kumsimamisha kazi yeye na wafanyakazi wengine ili kupisha uchunguzi wa namna ilivyotumika kiasi cha shilingi bilioni 179.6 katika zoezi la upatikanaji wa vitambulisho vya taifa wakati bado kuna malalamiko kwamba watu wengi hawajapata vitambulisho hivyo. .
Wednesday, August 17, 2016
Home
HABARI
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na Wenzake 8 Wafikishwa Mahakamani
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na Wenzake 8 Wafikishwa Mahakamani
Tags
# HABARI
Tupe Maoni Yako (Matusi Hapana)
Mwakasege Blog
USIACHE KU LIKE PAGE YETU KWAKUBONYEZA LIKE BUTTON
About siasa
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
Mahala popote ulipo, unaweza kututumia Habari kupitia namba yetu ya whatsap +255756584473.
No comments:
Post a Comment