Huu ndio
muonekano mpya wa mtindo wa nywele wa kijana Raymond wa wasafi,kijana anaye hit
kwa sasa na ngoma yake ya natafuta kiki, Kwa Mimi ninavyoona kiukweli kwa
muonekano huu wa mtindo wa nywele aliouweka naona hajapendeza kabisa ni bora
angebaki na muonekano wa kawaida ulikuwa poa sana.
Je wewe
unaonaje?
No comments:
Post a Comment