
MCHEKESHAJI
wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’, Jana ameuaga
ukapera kwa kufunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu aitwaye Monica.
Ndoa hiyo
imefungwa katika Kanisa la Mito ya Baraka lililopo Jangwani jijini Dar es
Salaam.
Miongoni mwa
wageni waliohudhuria harusi huyo ni pamoja na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano, Dk. Tulia Ackson.

No comments:
Post a Comment