
WEMA SEPETU AZIDI KUDATA KWA DIAMOND
KATIKA moja
ya vitu vinavyotrend katika mitandao ya kijamii hivi sasa ni pamoja na
mahusiano mazuri baina ya Staa wa Bongo fleva yani DIAMOND na aliyekuwa demu
wake wa zamani Wema Sepetu.
Sasa kubwa
zaidi linavyozidi kuipa promo mahusiano hayo yawe gumzo ni pamoja na wawili
nhao kusupportiana kwa kila jambo kupitia hiyoo mitandao.
No comments:
Post a Comment