PICHA: Moto uliotokea kwenye garage eneo la Jangwani Dar es salaam - boazmwakasege.com

MADA MOTO

Wednesday, July 13, 2016

PICHA: Moto uliotokea kwenye garage eneo la Jangwani Dar es salaam


Jana July 12 2016 moto umetokea kwenye garage zilizopo eneo la jangwani Dar es salaam jirani na ofisi za klabu ya Yanga, hata hivyo chanzo cha moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa.. endelea kutembelea tovuti yetu ya www.boazmwakasege.com kwa habari zaidi!

IMG-20160713-WA0009

IMG-20160713-WA0010


No comments:

Post a Comment