Magufuli Amteua Kinana Kuwa Katibu Mkuu CCM Licha ya Kuomba Kujiuzulu - boazmwakasege.com

MADA MOTO

Saturday, July 23, 2016

Magufuli Amteua Kinana Kuwa Katibu Mkuu CCM Licha ya Kuomba Kujiuzulu



Mwenyekiti mpya wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli amemteua ndugu Abdulrahman Kinana kuendelea na nafasi yake ya Katibu Mkuu wa chama hicho, licha ya Kinana kuomba kujiuzulu nafasi hiyo.

tupe maoni yako juu ya hili!!

ZISOME SENTESI ZOTE TANO ZA MH.YUSUPH MAKAMBA KATIKA MKUTANO MKUU WA CCM LEO, BONYEZA HAPA CHINI,

No comments:

Post a Comment