Baraza la
mitihani Tanzania(NECTA) imetangaza matokeo ya kidato cha sita 2016, na
Kuzitaja shule zilizo fanya vizuri zaidi Kitaifa na zile ambazo hazikufanya
vizuri Kitaifa.
Ubora wa
shule umepagwa kwa kutumia kigezo cha Wastani wa Pointi (Grade Point Average –
GPA) ambapo A=1, B=2, C=3, D=4, E=5 na F=7.
Aidha,
upangaji wa shule zilizofanya vizuri umezingatia shule zenye idadi ya
watahiniwa wasiopungua 30 kama ifuatavyoa:
Shule 10
Bora Kitaifa
1. Kisimiri
(Government)
2. Feza Boys
(Private)
3. Mwanza
Alliance Girls (Private)
4. Feza
Girls (Private)
5. Tabora
Boys (Government)
6. Marian
Boys (Private)
7. Kibaha
(Government)
8. Mzumbe
(Government)
9. Ilboru
(Government)
10.
Tandahimba (Private)
Shule
10 za
Mwisho Kitaifa
1.Mpendae
(Unguja)
2.Ben bella
( Unguja)
3.Tumekuja
(Unguja)
4.Green Bird
Boys (Kilimanjaro)
5.Jang'ombe
(Unguja )
6.Kiembesamaki
(Unguja )
7.Tanzania
Adventist ( Arusha )
8.Al-Ihsan
Girls ( Unguja )
9.Azania
(Dar es salaam )
10: Lumumba
(Unguja)
KAMA HUKUONA LILE SHAMBULIO LA KIGAIDI KULE UFARANSA , BONYEZA HAPA CHINI KUONA TUKIO ZIMA!!
No comments:
Post a Comment