Muigizaji maarafu Nchini anayefahamika kwa jina la "Inspector J plus"(Jimmy Mponda) yupo mbioni kuachia movie yake mpya inayokwenda kwa jina la "'The Foundation"'' aliyomshirikisha mtaalamu 'Seba' nawengine wakali!!
Amesisitiza zaidi akisema >>>''kaenitayari kupokea kitu kizuri zaidi ambacho mtakipenda '''
No comments:
Post a Comment