
Habari
tulizozipata hivi punde kutoka Singida ni kwamba mabasi mawili ya kampuni ya
City Boys yamegongana katika eneo la Maweni.
Taarifa za
awali zinasema kuwa watu zaidi ya 20 wamepoteza maisha papo hapo na wengine
kadhaa kujeruhiwa..
ANGALIA PICHA ZINATISHA JAMAA AKAMATWA NA KICHWA CHA BINADAMU ===> BONYEZA HAPA KUONA
Ajali hiyo
hiyo imetokea mchana huu ambapo kamanda wa polisi mkoa wa Singida amesema ajali
hiyo imetokea wakati mmoja wa madereva akifanya mchezo wa kukwepesha gari.
No comments:
Post a Comment