
Kiwanda cha
nguo ambacho ni moja ya viwanda vichache vinavyo fanya kazi ambapo kwa sasa
kilikua kinatengeneza khanga na vitenge vilivyoanzishwa na baba wa taifa
mwalimu julias nyerere kimeungua moto asubuhi ya leo.
Mpaka sasa
bado moto unaendelea karibu nusu ya kiwanda kimeteketea na magari ya zimamoto
yameishiwa maji, wanaendelea kufuata maji mengine na jeshi la polisi
limelazimika kutia maji ya katika gari ili kuongeza nguvu kuuzima moto.Taarifa
zaidi tujiunge katika taarifa ya habari ya Channel ten.
No comments:
Post a Comment