VIDEO: MH MAGUFULI: WANAOPITA KWENYE BARABARA ZA MWENDO KASI CHOMOENI TAIRI ZAO ZA MAGARI MUUZE!! - boazmwakasege.com

MADA MOTO

Friday, June 3, 2016

VIDEO: MH MAGUFULI: WANAOPITA KWENYE BARABARA ZA MWENDO KASI CHOMOENI TAIRI ZAO ZA MAGARI MUUZE!!

 Rais John Pombe Magufuli achukizwa na uharibifu na matumizi mabaya ya miundombinu ya mabasi ya mwendo kasi na kuagiza mamlaka zinazohusika ziwachukulie hatua kwa wasiofuata sheria.

Amewataka wachukue magari yao na wapeleke kituoni kisha wachomoe matairi ya watuhumiwa wauze na watakuwa wamepata biashara Msikilize Hapa


No comments:

Post a Comment