
Mwanamke
anaweza kuishi katika ndoa au mahusiano bila kucheat kwa asilimia 99 na wanaume
wanaweza kuishi bila kucheat kwa asilimia 1 kwa sababu ni nature ya mwanaume
kuwa hivyo.Kwahiyo ukiona mumeo au mpenzi wako hujamkamata inabidi umuheshimu
saaana kwasababu anafanya kwa umakini na usiri wa hali ya juu ili asiumize
hisia zako.wanaume wasiochet ni wale wagonjwa na makasisi wacha Mungu tu.
Wengine wooote tupa kule.
Huu ndio
ukweli mchungu kuhusu wanaume, Na ukweli unabaki palepale kuwa asilimia 99 ya
wanaume wanatoka nje ya ndoa au mahusiano yao tena bila kuwa sababu ya msingi
they just do haimaanishi kwa kufanya hivyo hawawapendi wake zao bali ni
maumbile yao ndio yanawatuma hivyo. Kwahiyo kama umeolewa au una mpenzi
ukimakamata na mwanamke mwingine usimhukumu kwa KUCHEAT bali mhukumu kwa
KUCHEAT KIPUMBAVU mpaka akakamatwa wakati wenzake wanacheat na hawakamtwi.
najua kuna
mikunguru minafiki itakuja hapa na kubisha ila ukweli ndio huo - By Dr JJ MWAKA
No comments:
Post a Comment