Watumishi 11
mkoani wa idara ya afya mkoani Mbeya wamesimamishwa kazi baada ya kukutwa na
kosa la kughushi vyeti vya kidato cha nne hilo limefanyika baada ya zoezi la
kuhakikisha vyeti kwa kushirikiana na baraza la mitihani NECTA ikiwa ni
mwitikio wa agizo alilotoa rais John Magufuli.
Amesema
waliwakilisha vyeti vingi NECTA na hivyo 11 ndio vikabainika vilikuwa vya
kughushi ambao karibia wote ni wanawake Tazama Hapa:
No comments:
Post a Comment