Huenda huu
ndio ukawa mwisho wa headlines za Jose Mourinho kuhusishwa kujiunga na klabu ya
Man United, kwani taarifa kutoka mitandao mingi ya soka Ulaya ikiwemo Sky Sport
unaripoti kocha huyo kujiunga na Man United.
Sky Sport
wameripoti Jose Mourinho kusaini mkataba rasmi na Man United, kinachosubiriwa
ni uongozi wa klabu hiyo kumtangaza tu, kwani leo May 26 ameonekana katika
hoteli London akiripotiwa kuwa alikuwa na kikao na mtendaji mkuu wa Man United
Ed Woodward.
No comments:
Post a Comment