
Young Killer
alisema haya kupitia kipindi cha eNEWS na kusema kuwa yeye kuwataja madoni
kwenye wimbo wake haina maana kuwa amewashawishi ili wampe kitu, bali amefanya
hivyo kwa mapenzi yake mwenyewe na kudai hata kama ikitokea kweli akapewa ndiga
haiwezi kukataa.
Mbali na
hilo Young Killer amesema kuwa moja ya sababu kubwa kuwataja majina watu hao ni
kwasababu wamemsaidia kimawazo, kwa kipindi ambacho alikuwa kimya hivyo
amefanya hivyo kama kuwakumbuka na kuweka kumbukumbuka kwa kile walichomsaidia.
No comments:
Post a Comment