Picha:(1) Kikosi cha Stendi utd Singida.
Magoli yote mawili yamepatikana katika kipindi cha pili, Stendi utd ndio walioanza kujipatia bao kwa mkwaju wa penati kupitia mshambuliaji wao Frank Kijoti baada ya dakika chache Ndanda Fc ilisawazisha goli hilo kupitia mshambuliaji wao Hamimu Hawadhi
Picha(2) Ni kikosi cha Ndanda Fc, kikiongozwa na nahodha Kigi Makasi.
Picha(3) Ni wachezaji wa Ndanda wakiwa katika mazoezi mepesi, kiwanja cha Namfua-Singida
Picha(4) Ni walinda mlango wa timu ya Stendi utd-Singida wakifanya mazoezi mepesi.
Wachezaji wakisalimiana Tayari kwakuanza mechi.
No comments:
Post a Comment