Dogo janja ni msanii anayezidi kufanya vizuri kwenye mziki wake tangu aliporudi upya amekuwa akionyesha utofauti mkubwa kwenye muziki wake kitu ambacho wasanii wengi wamekuwa wakimpongeza. Dogo janja ametumia ukurasa wake wa Instagram kutuonyesha muonekano wake mpya akiwa amevaa meno ya dhahabu akama walivyofanya, AY, Diamond Platnumz na Vanessa Mdee.

No comments:
Post a Comment