ZARI Amejifungua? Diamond Aandika Ujumbe Huu Instagram Akielekea SA Akiwa na Mama yake - boazmwakasege.com

MADA MOTO

Sunday, December 4, 2016

ZARI Amejifungua? Diamond Aandika Ujumbe Huu Instagram Akielekea SA Akiwa na Mama yake

 
 Diamond Platnumz weekend hii amepost picha instagram akiwa safarini na Mama yake kuelekea Afrika Kusini huku kwenye picha hiyo akiwa ameandika ujumbe ambao unaonyesha huwenda mpenzi wake Zari amejifungua.

Mapema mwezi uliopita katika hatua za kujiandaa na mapokezi ya mtoto huyo, Zari alifanya baby shower nchini Afrika Kusini na kuwashirikisha marafiki zake na watu wa karibu.

Jumapili hii Diamond akiwa safarini na mama yake kwenda Afrika Kusini, ameandika :



 Je umesikia hii?? Muigizaji maarufu wa Bongo movie anayefahamika kwa jina la JB atangaza kuacha sanaa hiyo, stori kamili ==>SOMA HAPA

No comments:

Post a Comment