RIDHIWANI Kikwete Awaponda Diamond na Ali Kiba, Awapa Onyo - boazmwakasege.com

MADA MOTO

Tuesday, December 20, 2016

RIDHIWANI Kikwete Awaponda Diamond na Ali Kiba, Awapa Onyo

 
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ameponda Diamond na Ali Kiba kuwa na bifu akisema zinaweza kusababisha madhara makubwa akitolea mfano bifu ya Tupac na notorious big

Pia amesema mzee wake anapenda muziki lakini wa zamani ila wasanii wa bongo flava alikuwa akikutana nao kwa kuunganishiwa na yeye

No comments:

Post a Comment