CHID BENZI Anastahili Kuombewa..Siwezi Muhukumu-Solo Thang - boazmwakasege.com

MADA MOTO

Tuesday, December 27, 2016

CHID BENZI Anastahili Kuombewa..Siwezi Muhukumu-Solo Thang

 
Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop, Solo Thang ameposti video akiwa na rapa Chidi Benz ambaye walikutana usiku na kuongea baadhi ya mambo, lakini kutokana na hali aliyokuwa nayo Chidi Benz Solo Thang alisema hawezi kumuhukumu bali anastahili kuombewa tu.

Katika ujumbe ambao Solo Thang aliandika kwenye mtandao wake wa Instgram alisema hawezi kuhukumu na hata iweje bado Chidi Benz ataendelea kuwa mdogo wake, rafiki yake na mtu wake wa karibu.

No comments:

Post a Comment