Mke wangu Ananiambia Anatongozwa Sana, Nifanyeje? - boazmwakasege.com

MADA MOTO

Wednesday, November 2, 2016

Mke wangu Ananiambia Anatongozwa Sana, Nifanyeje?


Mke wangu amenishangaza sana baada ya kuniambia kuwa akiwa kazini au mizunguko huko mtaani kuwa anatongozwa sana na wanaume mbali mbali lakini eti anawakataa wote....

Maswali yangu
Wataalam wa mambo hivi Inapofikia hatua mke wako wandoa anakwambia hivyo ina maana gani?
Hivi Kweli Mwanamke anaweza kwa siku atongozwe na wanaume watano na kuwakataa wote?

No comments:

Post a Comment