SITTA AREJEA NCHINI KUTOKA UJERUMANI ALIKOENDA KUTIBIWA MIGUU - boazmwakasege.com

MADA MOTO

Sunday, October 16, 2016

SITTA AREJEA NCHINI KUTOKA UJERUMANI ALIKOENDA KUTIBIWA MIGUU


Spika wa Bunge mstaafu, Samuel Sitta amerejea nchini kutoka Ujerumani alikokwenda kwa ajili ya matibabu ya miguu.

Septemba mwaka huu, Sitta alikwenda nchini humo baada ya kusumbuliwa na tatizo hilo.

samuel-sitta

Mmoja wa wanafamilia wa mwanasiasa huyo aliyewahi kuwa waziri wa wizara mbalimbali serikalini, alimwambia mwandishi wa habari hizi kuwa hali yake inaendelea vizuri.

 Hata hivyo mimi siyo msemaji wa familia,” alisema mtoa habari huyo.

Alipotafutwa mke wa Sitta, Margaret ambaye alirithi ubunge wa Urambo kutoka kwa mumewe, alisema alikuwa benki na asingeweza kuzungumza  na simu.


 

1 comment:

  1. Naombeni ushauri wenu, mume wngu ananilazimisha kunila tigo na mm sitaki, ametishia kuniacha, sijui hata nifanyeje naninampenda sana ingia hapa uone aliconifanyia jamani ==>>>> https://goo.gl/YGtUuz

    angalia picha zote alivyokuwa akiniinamisha kitandani ===>>>https://goo.gl/qTROY4

    SHARE POST HII KATIKA MAGROUP NIPATE USHAURI ZAIDI.

    ReplyDelete