
Mahakama ya Wilaya Ilala jijini Dar es Salaam leo imemfutia
shtaka la unyang’anyi wa kutumia silaha,
Salum Njwete maarufu kwa jina la Scorpion baada ya upande wa mashtaka kuomba
shtaka hilo liondolewe mahakamani hapo kwa sababu hawana nia ya kuendelea na
kesi hiyo.
Mtuhumiwa huyo ambaye ni mkazi wa Buguruni kwa Mnyamani
anatuhumiwa kumchoma visu na kisha kumtoboa macho, Said Ally mkazi wa Mabibo
Hostel hivi karibuni.
CHANZO:UDAKU SPECIALLY
No comments:
Post a Comment