
staa Alikiba
ambaye kwa sasa yupo chini ya Sonny Music ameshinda tuzo mbili katika tuzo za
Holly Wood $ African People's Choice zinazofahamika kama THE NAFCA
zilizofanyika Califonia USA, Alikiba alikuwa akiwania tuzo hizo katika
vipengele viwili 'Favorite Artist of the year'na Favorite song of the year.
No comments:
Post a Comment