
Mkuu wa Mkoa
wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza vita na makaka poa (mashoga) na madada
poa (makahaba) walioko jijini Dar es Salaam kuwa utaendeshwa msako mkali wa
kuwaondoa.
Mkuu wa Mkoa
huyo aliyasema hayo kufuatia hali ya vitendo hivyo visiyokubalika na jamii
kuzidi kushamiri na kuwa kuna hatari kubwa ya watoto wadogo kuiga vitendo hivyo
vinavyoleta picha mbaya kwani ni kinyume na maadili ya mtanzania.
MTUNZI WA KITABU CHA ''THE CONCUBINE'' AFARIKI DUNIA HABARI KAMILI ==> BONYEZA HAPA
Aidha
alisema hawezi kuifumbia macho hali hii kwani inamomonyoa maadali ya jamii na
kuwa yuko tayari kulivalia njuga suala hili ili kuhakikisha anawamaliza wote
mkoani
Sakati hili
la ushoga na ukahaba limeibuka siku za hivi karibuni baada ya kituo cha
televisheni cha Clouds Tv kumhoji shoga mmoja ambapo jamii ilipinga kitendo
hicho na kuona kama walikuwa wakiuhalalisha ushoga na kuaminisha jamii kuwa ni
kitu kizuri.
No comments:
Post a Comment