Mwigizaji wa
filamu nchini Tanzania Jackline Wolper aliyekuwa akimuunga mkono Edward Lowassa
katika uchaguzi Mkuu 2015, ametangaza kujiunga na CCM rasmi jana.Wolper
alikaribishwa na mwenyekiti aliyemaliza muda wake Dkt Jakaya Kikwete baada ya
kutangaza kujiunga na CCM.Kitendo hicho kilifanyika katika Mkutano Mkuu Maalum
wa CCM uliofanyika jana Julai 23, mkoani Dodoma.
Wolper akiwa na Mh JK
No comments:
Post a Comment