
Mtoto wa
aliyekuwa kiongozi wa Al-Qaeda, Osama bin Laden, Hamza bin Laden ameapa
kulipiza kisasi kwa Marekani kwa kumuua baba yake.
Ameapa
kuliendeleza kundi hilo, amesema wako kwenye mpango wa kutekeleza shambulizi
lingine linalofanana na lile la Septemba 11, 2001
No comments:
Post a Comment