
Hakuna kitu
ambacho mashabiki wa Wema Sepetu wanakipenda kama kuona kuwa kuna amani kati
yake na Diamond.
Pamoja na
kuwepo kwa tension kubwa kati ya wawili hao licha ya kila mmoja kuwa na hamsini
zake sasa – yaani Diamond kuhamishia mabaha yake kwa Zari waliyejaaliwa mtoto
wa kike, Tiffah na Wema kuwa mikononi mwa staa mwenzake, Idris Sultan, mambo
yanaonekana kuanza kunyooka.
Jumanne hii
Diamond aliwafurahisha sana mashabiki wa Wema pale alipoipromote show ya Black
Tie iliyoandaliwa na Wema na Idris, July 9.
No comments:
Post a Comment