
June 4, 2016
dunia imempoteza nguli wa mchezo wa Boxing MUHAMMAD ALI aliyefariki akiwa na
umri wa miaka 74' ambaye amefariki leo.
THE GREATEST
kama alivyofahamika alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa PARKISONS uliomfanya
ashindwe kuendelea na mchezo huo kwani husababisha mwili kupooza na pia misuli
kukaza, Ali alikimbizwa hospitali Alhamis ya wiki hii kwa tatizo la mfumo wa
upumuaji "Respiratory Disease." - REST IN PEACE KING ALI
No comments:
Post a Comment