Amboni Tanga: Watu 8 Wauawa kwa Kufichua vitendo vya Kihalifu - boazmwakasege.com

MADA MOTO

Tuesday, May 31, 2016

Amboni Tanga: Watu 8 Wauawa kwa Kufichua vitendo vya Kihalifu

Watu kadhaa wa kijiji cha Mikocheni karibu na mapango ya Amboni mkoani Tanga wameuawa usiku wa kuamkia leo.

Inasemekana watu waliouawa wanadaiwa kufichua vitendo vya uhalifu kijijini hapo na kwamba miili ya watu hao waliouawa imepelekwa hospitali ya rufaa ya Mkoani humo.



Chanzo : Radio One.

No comments:

Post a Comment